Please, flip your device!

Lexus LS

Mbeya
TSh 50,000,000
Ic time small
tangazo limeundwaMwezi Wa Saba 08
View
Inaonekana92
Ic time small
tangazo limeundwaMwezi Wa Saba 08
View
Inaonekana92
Make an offer
TZS

KuhusuLexus LS

+25578 738 1388
Engine
Injini8 L
Gearbox
GearboxAutomatic
Mileage
Masafa58,000 km
Year
Mwaka2006
RangiBluu
Body type
Aina ya umboSedan
Fuel type
Aina ya mafutaPetrol
Air con
KiyoyoziNdiyo
Drive type
Aina ya UsukaniKulia
Condition
HaliIlio tumika

Wauzaji maoni

Hii ni gari kwa wale ambao wanataka uhakika wa safari uliyounganishwa na anasa.

Lexus LS 430 ina injini ya V8 yenye uwezo wa lita 4.3 (msimbo wa ndani 3UZ-FE) na otomatiki na 6-speed,.

Licha ya ukubwa wake mkubwa na injini yenye nguvu, LS 430 inatumia mafuta vizuri.

Ndani ya Lexus LS 430 kumejaa mbao na ngozi. Ukikaa kwenye viti vya mbele ni kama umeingia kwenye safari ya ndege ya daraja la kwanza.

Lexus LS 430 ina viti vya ngozi vilivyopashwa moto mbele, stereo bora, paa kubwa la jua, udhibiti wa hali ya hewa wa kiotomatiki, na kila kitu cha nguvu na mfumo wa sauti wa hali ya juu wa Mark Levinson.

Lexus ina Mfumo wa kuzuia ajali ambao hutumia teknolojia ya rada kugundua ajali inayokuja na hukaza mikanda ya usalama kwa tahadhari na kufunga breki kwa nguvu ya juu zaidi ili gari kusimama.

Gari nyingi za Lexus LS430 zimetembea zaidi ya kilometa 300,000 na zinadunda bila kuwa na matatizo ya kiufundi, na ndio maana Lexus LS430 inatajwa kuwa ndio gari imara na madhubuti kuwahi kutengenezwa na Lexus. Gari haijafikisha hata theluthi ya kilometa 300,000.

Lexus LS4300 si gari ya kumilikiwa na kila mtu, ni gari za watu wachache.

Onyesha zaidi
Safety Notice
  • Do not under any circumstances pay in advance.
  • Check the car carefully before you buy it. Ask for inspection certificates.
  • Check ownership and registration details as well as a vehicle logbook.
  • Meet at a safe and public location and bring someone with you.
  • Pay after you collect the car. Always request proof of purchase (transfer receipt, email..)
  • Look out for significantly undervalued cars. If it looks too good to be true, it probably is.

Unahitaji kuuza gari lako pia?

Tutakusaidia!

Nunua gari lako
TSh 50,000,000
Make an offer
TZS