TSh
TSh
USD
Ingia
TSh
TSh
USD
Blogu
Jukwaa
Mawasiliano
Directory
Search ads
Ingia
Magari
Baiskeli
Malori
Spare Parts
Electric Cars
EV
REEV
Hybrid
PHEV
Imported
Loans
Insurance
More
Imported
Loans
Insurance
KUUZA
Please, flip your device!
Welcome back,
sign in:
Sign in with Phone
Sign in with Facebook
Sign in with Email
Don't have an account?
Sign Up
×
Please, flip your device!
Magari
Baiskeli
Malori
Spare Parts
Electric Cars
EV
REEV
Hybrid
PHEV
Imported
Loans
Insurance
More
Imported
Loans
Insurance
Directory
Search ads
Blogu
Jukwaa
Mawasiliano
Ingia
Kujiunga
Nyumbani
/
Ian Rugaimukamu
Ian Rugaimukamu
Mwanachama tangu 16 March 2026
12
1993 Nissan Terrano
Dar es Salaam
Bei
NEGOTIABLE
Masafa
192,053 km
1 L
(Diesel)
Automatic
NISSAN TERRANO 1993 FOR SALE – CLASSIC & RUGGED 4X4 Kwa wale wanaojua thamani ya "Old School" 4x4, hii Nissan Terrano ya mwaka 1993 bado iko kwenye kiwango bora sana. Gari imetunzwa vizuri na iko tayari kwa kazi yoyote. Sifa Muhimu: Uimara: Hii ni gari ya chuma (Heavy Duty), haisumbui spea na mafundi wote Dar wanaijua. Gearbox: Automatic (ikiwa na mfumo wa 4WD unaofanya kazi vizuri sana.) Interior: Safi na yenye nafasi ya kutosha kwa familia au mizigo. Muonekano: Ina muonekano wa kishujaa (Badass aesthetic), inavutia sana barabarani. Sababu ya Kununua: Gari hii ni rafiki wa mfuko kwenye matengenezo (low maintenance). Inafaa sana kwa mtu anayehitaji gari ya uhakika kwa ajili ya site, biashara, au mishe za mjini bila hofu ya kuharibika ovyo. Price: 5,800,000/= TZS Wasiliana nami sasa kufanya inspection na test drive.
Ilitangazwa siku 1 iliopita